Maelezo ya Kujiandikisha kwa Kiswahili.
Mbio za Kilimanjaro Marathon (42.2km), Nusu Marathon (21.1km) Mbio za kujifurahisha (5km), zitafanyika Moshi, Tanzania kila mwaka. Mbio hizi zimesajiliwa na IAAF. Mbio za marathon & nusu marathon zina wasimamizi rasmi, waweka muda na vituo vya viburudisho mara kwa mara, mbio zote ziko kwenye mita 830 hadi mita 1150 usawa wa bahari kwenye njia nzuri za lami.
Usajili Dar es Salaam
TAREHE : 24 & 25 February Jumamosi Na Jumapili.
MUDA: Kuanzia Saa Tatu Asubuhi hadi Saa Kumi Na moja Jioni.
MAHALI: Mlimani City ( maeneo ya CRDB BANK )
Usajili Arusha:
TAREHE: 27 & 28 February – Jumamosi Na Jumapili.
MUDA: Kuanzia saa Nane Mchana hadi saa Mbili Usiku.
MAHALI: Kibo Palace Hotel ( Mlango wa Nyuma Parking )
Usajili Moshi
Tarehe 01 March saa Sita Mchan hadi saa Moja Usiku
Tarehe 02 March Saa NneAsubuhi Hadi saa moja Usiku
Tarehe 25 February Saa Tatu asubuhi hadi saa Sita Mjana
Mahali: Keys Hotel .Uru Road
Tafadhali hakikisha unachukuwa au Unajisali kabla ya siku tajwa hapo juu na hatuta sajili mkimbiaji baada ya tarehe hizo.
Jaza Fomu hapo chini na ulete kwenye meza ya kujiandikisha ikiwa pamoja na kitambulisho chako.
Pakua fomu ya kujiandikasha, jaza na ulete siku ya kujiandikisha