Maelezo ya Kujiandikisha kwa Kiswahili.

Mbio za Kilimanjaro Marathon (42.2km), Nusu Marathon (21.1km) Mbio za kujifurahisha (5km), na Walemavu 10km Wheelchair/Racing-cycle , zitafanyika Moshi, Tanzania kila mwaka.   Mbio hizi zimesajiliwa na IAAF.   Mbio za marathon & nusu marathon zina wasimamizi rasmi, waweka muda na vituo vya viburudisho mara kwa mara, mbio zote ziko kwenye mita 830 hadi mita 1150 usawa wa bahari kwenye njia nzuri za lami.

Usajili Dar es Salaam

TAREHE : 18 & 19 February  Jumamosi Na Jumapili.

MUDA: Kuanzia Saa Tatu Asubuhi hadi Saa Kumi Na moja Jioni.

MAHALI: Mlimani City ( maeneo ya CRDB BANK )

Usajili Arusha:

TAREHE: 21 & 22 February – Jumanne na Jumatano

MUDA: Kuanzia saa Nane Mchana hadi saa Mbili Usiku.

MAHALI: Kibo Palace Hotel ( Mlango wa Nyuma Parking )

Usajili Moshi

Tarehe 23 February saa Sita Mchan hadi saa Kumi na Moja Jioni

Tarehe 24 February Saa Tatu Asubuhi Had Saa Kumi Na Moja Jioni

Tarehe 25 February Saa Tatu asubuhi hadi saa Sita Mjana

Mahali: Keys Hotel .Uru Road

Jaza Fomu hapo chini na ulete kwenye meza ya kujiandikisha ikiwa pamoja na kitambulisho chako

Download fomu ya kujiandikasha, jaza na ulete siku ya kujiandikisha