weeks
0
5
days
0
3
hours
1
5
min
5
8
sec
2
9

 

 
 

 

 

The Kilimanjaro Marathon (42.2km), Half Marathon (21.1km) and Fun Run (5km) is going into its 14th year! As a fully registered IAAF race, the marathon has official marshalling, time-keeping and refreshment points at regular intervals. It may be used as a qualifier for Comrades. The race is run under the watchful eye of Mount Kilimanjaro, with the altitude gain being quite manageable and with the entire race being completed between 830 and 1150m asl, on good tarred roads.

Please note that the Kilimanjaro Marathon is a Qualifying Event for The Comrades.

Please note cut-off for online pre-registration is the 10 February 2017!

 
Aims Certificate of Membership Aims Certificate of Membership

Mbio za Kilimanjaro Marathon (42.2km), Nusu Marathon (21.1km) Mbio za kujifurahisha (5km), na Walemavu 10km Wheelchair/Racing-cycle , zitafanyika Moshi, Tanzania kila mwaka.   Mbio hizi zimesajiliwa na IAAF.   Mbio za marathon & nusu marathon zina wasimamizi rasmi, waweka muda na vituo vya viburudisho mara kwa mara, mbio zote zinaa kwenye mita 830 hadi mita 1150 usawa wa bahari kwenye njia nzuri za lami.

Usajili. Arusha, Kibo Palace Hotel, Alhamisi tarehe 25 Feb, saa nne asubuhi mpaka saa kumi jioni, na Keys Hotel, Barabara ya Uru Moshi, Ijumaa na Jumamosi ya tarehe 26/27 Feb, ua kwenye tuvuti.
Usajili baada ya tarehe na muda hautokubalika . Usajili utafunguliwa saa nne asubuhi – hadi saa kumi na moja jioni . Kama ukiona utachelewa muombe akusaidie. Kuna bei maalum ya Watanzani na raia wa Afrika Mashariki.
Zawadi nyingi kushindaniwa

Full Marathon:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki TSH 10000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $35
Half Marathon:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki TSH 8000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $35
5km Fun Run:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki TSH 4000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $3
10km Wheelchair/Racing  Category:
Kiingilio tu – Raia wa Afrika Mashariki 3,000/ Wakazi wa Afrika Mashariki $5

 

Subscribe to newsletter

Click here to get the latest Kili Marathon updates and News

 

News

2016/12/05
Arusha Registration Dates Confirmed... Read more

2016/10/18
The 15th edition of the Kilimanjaro Marathon was launched in Dar es Salaam r... Read more

2016/09/06
Feet racing, heart pulsating ... get ready for another exciting Kilimanjaro ... Read more

2016/05/13
The Kilimarathon 2016 - SuperSport YouTube Lin... Read more

Certificates

Click here to request a certificate of completion

Results

Click here to view results of the Killimanjaro Marathon

Next Year's Race Date


26 FEB 2017